mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Wakuu marabaada ya kumaliza elimu yangu ya sekondari mwaka 2012 nilijiunga jamii forum nakuwa mnazi ma jukwaa hili, nilijiingiza katika ujasiliamali kwa kusaidia watu mbali kupata mifugo bila mimi kuwatoza gharama yeyote although kama ni wakwangu, nimepigana na swala hili lakini muda unanibana sana kwa kweli. Niko chuo nashindwa kuhimili shughuri hizi, kwa wale ambao haikuwa mara yao ya kwanza kama ndaha naomba muendelee kuniamini mungu akipenda mwezi wa sita wembe ni uleule, ambao ilikuma mara ya kwanza naomba mniamini natamani kuwa support tatizo nimekuwa bussy na masuala ya chuo. Sikupenda kusitisha shughuri za ujasiliamali, mazingira yananikandamiza muda hauwi rafiki kwangu. Niwatakieni mafanikio na muwe na umoja na msaidiane inapo bidi. Ahsante