Naombeni review ya hii perfyum

Naombeni review ya hii perfyum

siwacheusi

Member
Joined
Jul 11, 2022
Posts
24
Reaction score
11
Habara za wakati huu wadau!

Naomba kwa aliyewahi kuitumia hii perfyum naomba maoni yenu.

Asanteni
Screenshot_20220914-164707_Chrome.jpg
 
Ukiona perfume (sio body spray) inayoonyesha ndani halafu kale kamrija kamegusa hadi chini na kamepinda then hiyo siyo 100% perfect perfume.

Perfume nzuri ni ambayo mrija wake umeshuka straight bila kugusa sakafu ya chupa. Kwasababu perfectly made perfume huwa ni 100% spirit bila content ya maji. Sasa hizi za mrija unagusa chini it means sio perfect product inatakiwa kufyonza contents.
 
Review maana yake uhakiki!!??? Sa sijui unataka uhakikishiwe nini kwenye hiyo perfume
 
Ambayo sio 100% perfect perfume huwa inakuwa na mrija uliopinda.
images%20(7).jpg
 
Back
Top Bottom