Review ni maelezo kuhusu hii perfyum kwa wale walioitumia...wanailezea zaidi..kuhusu harufu yake, kukaa kwenye nguo..kuwasha endapo itagusa ngoz...n.k.yani vitu kama hivyo
Ukiona perfume (sio body spray) inayoonyesha ndani halafu kale kamrija kamegusa hadi chini na kamepinda then hiyo siyo 100% perfect perfume.
Perfume nzuri ni ambayo mrija wake umeshuka straight bila kugusa sakafu ya chupa. Kwasababu perfectly made perfume huwa ni 100% spirit bila content ya maji. Sasa hizi za mrija unagusa chini it means sio perfect product inatakiwa kufyonza contents.