Naombeni ruhusa wakubwa zangu

Naombeni ruhusa wakubwa zangu

Samrati

Member
Joined
May 28, 2015
Posts
72
Reaction score
40
Hodi wenyeji,

Naomba ruhusa yenu na hekima zenu katika family hii ya JF, Naomba mnipokee.

Mimi ni mwanamke,nitachangia hoja zote bila ubaguzi wowote.

Wasalaam.

Ndimi, Samrati.
 
Hodi wenyeji,naomba ruhusa yenu na hekima zenu katika family hii ya JF,naomba mnipokee.
Mimi ni mwanamke,nitachangia hoja zote bila ubaguzi wowote
Wasalaam,
Ndimi,Samrati.

karibu sana Samrati jisikie huru mimi naitwa Agogwe
 
mkuu naona wewe, ndio unafunguo za hili jukwaa....inaonekana wapenda sana wageni na ni mkarimu!... upo pande gani nije nikutembelee?

kwel mkuu. huyo Katavi na Watu8 ni wakarimu sana. nawapenda sana. ndugu mgen karbu jf
 
Last edited by a moderator:
mkuu naona wewe, ndio unafunguo za hili jukwaa....inaonekana wapenda sana wageni na ni mkarimu!... upo pande gani nije nikutembelee?

hahahaah,,,,,,,mkuu ni vizuri kuwakaribisha wageni.
 
Karibu sana utakuwa umesha anza kuzoea mkuu. Humu kuna watu aina nyingi sana...cha msingi uwe mvumilivu na jitahidi kujifunza kwa wengine pia. Ubarikiwe na Mwenyezi Mungu.
 
Back
Top Bottom