Naombeni sifa ya gari aina ya Alphard G

Naombeni sifa ya gari aina ya Alphard G

Joined
Mar 20, 2015
Posts
13
Reaction score
4
Habari ndugu naomba kufahamu nguvu na uwezo wa Alphard G naiwaza ninunue iwe ya familia iwe Ni 4 cylinder,Nawakilisha kwenu
 
nakumbuka zilipita Alphard 2 na V8 2 kwa msafara mdogo wa jeshi,

aisee iyo ngoma siyo poa, kama imeibiwa vile
 
Back
Top Bottom