N NYOKA MWENYE MAKENGE Member Joined Mar 20, 2015 Posts 13 Reaction score 4 Dec 18, 2022 #1 Habari ndugu naomba kufahamu nguvu na uwezo wa Alphard G naiwaza ninunue iwe ya familia iwe Ni 4 cylinder,Nawakilisha kwenu
Habari ndugu naomba kufahamu nguvu na uwezo wa Alphard G naiwaza ninunue iwe ya familia iwe Ni 4 cylinder,Nawakilisha kwenu
JITU LA MIRABA MINNE JF-Expert Member Joined Mar 28, 2015 Posts 726 Reaction score 476 Dec 18, 2022 #2 Alphard G naihitaji lakini naomba nifa zake kwanza wakubwa nisije ingia mkenge. Pia ushauri unakaribishwa.
Alphard G naihitaji lakini naomba nifa zake kwanza wakubwa nisije ingia mkenge. Pia ushauri unakaribishwa.
edwayne JF-Expert Member Joined Apr 5, 2013 Posts 8,919 Reaction score 9,797 Dec 18, 2022 #3 Ni daladala
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 12,846 Reaction score 28,106 Dec 18, 2022 #4 Ina spidi inaatamia road. Nzuri Kwa familia
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 12,846 Reaction score 28,106 Dec 18, 2022 #5 Nahitaji kununua gari aina ya Toyota Alphard naomba ushauri Wakuu habari, Naomba ushauri wenu nahitaji kununua gari aina ya toyota alphard ya kuanzia mwaka 2006, Sina uzoefu na magari, katika bei ,ulaji wa mafuta, nk. 🙏 www.jamiiforums.com
Nahitaji kununua gari aina ya Toyota Alphard naomba ushauri Wakuu habari, Naomba ushauri wenu nahitaji kununua gari aina ya toyota alphard ya kuanzia mwaka 2006, Sina uzoefu na magari, katika bei ,ulaji wa mafuta, nk. 🙏 www.jamiiforums.com
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 12,846 Reaction score 28,106 Dec 18, 2022 #6 Pitia thread hio utapata mengn zaid
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 12,846 Reaction score 28,106 Dec 18, 2022 #7 Car4Sale - Toyota Alphard inauzwa Tanga mjini www.jamiiforums.com
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 23,901 Reaction score 58,103 Dec 18, 2022 #8 nakumbuka zilipita Alphard 2 na V8 2 kwa msafara mdogo wa jeshi, aisee iyo ngoma siyo poa, kama imeibiwa vile
nakumbuka zilipita Alphard 2 na V8 2 kwa msafara mdogo wa jeshi, aisee iyo ngoma siyo poa, kama imeibiwa vile
JITU LA MIRABA MINNE JF-Expert Member Joined Mar 28, 2015 Posts 726 Reaction score 476 Dec 18, 2022 #9 edwayne said: Ni daladala Click to expand... Ni daladala kivip
JITU LA MIRABA MINNE JF-Expert Member Joined Mar 28, 2015 Posts 726 Reaction score 476 Dec 18, 2022 #10 Santos06 said: Pitia thread hio utapata mengn zaid Click to expand... Sawa