Kuna haka kaneno nimekuwa nikikasikia mara kwa mara kanatumika na watu marika tofauti naweza kuita ni msimu "Hoves" ama "Hovesi" huwa maana yake ni nini? Anaejua anifafanulie tafadhali.
Mfano:
1.Eh bwana jana usiku nilikuwa hoves vibaya mno.
2. Nimeenda kwa Fareed nikakuta yupo hoves.
Huwa inamaanisha nini hili neno?