Naombeni Tenda

concrete15

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2012
Posts
882
Reaction score
323
Baada ya kutafuta kazi na kuona kuwa ni ngumu nimeamua kujiajiri mwenyewe na naombeni tenda au dili katika mambo yafuatayo
Electrical installation
Electronics security systems
CCTV
Electric fence
na mengineyo mengine mengi ya kiufungi campuni yangu imesajiliwa na imeshaganya mambo makubwa. Nitafute kwa email ifuatayo kwa jinsi ya kupatana tenda
bastelyimo@gmail.com
 
tumekosoma kaka, umefanya jambo la neema kwani natumai utaajili watu wawili watatu kwenye kampuni yako, tupe nasi kazi/ajira zisizo na mashart magumu kaka
 
safi sanakiongozi,mie nipo interested kwenye Electric Fence Installations.

Gharama zake zikoje? Requirements zake? Je gharama ya kufunga fence ya 35m kwa 40m(Mzingo wa 150m) sh ngapi?
 

kaka mi ninashida binafsi ntaku e mail tofauti kidogoo
 
Hongera mkuu, mbona umepata, watu wanahitaji hizo huduma, we andaa marketing strategies za kuwafikia target customers wako!!
 
Safi sana! Kama unahitaji na mafundi kwenye ofisi yako tupatie na sisi ajira. Mi nimejiajiri kwenye Electrical Installation {Wiring} unaweza Kuni PM kwa mawasiliano zaidi.
 
Hongera kaka ume2inspire nacc wengine kujiajiri big up!.....kumbe ukithubutu mambo yanawezekana!.
 

mkuu apo kwenye red; tunaweza tukapeana michongo mi mwenyewe nafanya kazi za;design and drawing, buildings and roads works+BOQ; generally kwaiyo ukipata kazi tujuzane. nami nimeamua kujiajiri mwenyewe coz ajira sasa ni issue. kama vp PM tuwasiliane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…