Hiyo 9.8 siyo gravitational force wala kitu chochote, ni namba tu ka namba nyingine! Nadhani ulitaka kuandika gravitational acceleration ambayo ni 9.8 m/ second squared! Humu ndani kila mtu anajitutumua aonekane mjuaji kumbe wengine wanaboronga hata walichotaka kuandika!