Naombeni tofauti ya mifuko hii Faida Fund na UTT Amis

Naombeni tofauti ya mifuko hii Faida Fund na UTT Amis

UMUNYU

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2017
Posts
726
Reaction score
564
WanaJF, nawasalimu nyote!

Ninaomba anayeijua vizuri tofauti iliyoko kati ya mifuko hiyo miwili anijuze!Ninaomba ninapofafanuliwa hilo nijibiwe maswali haya: UPI ni bora kuliko mwingine?Upi unamfaa mtu mwenye kipato cha cha chini kinachomwezesha kubaki na akiba ndani ya shilingi 30000/- kwa mwezi!

Karibuni wadau!
 
Ni bora uende pale ofisini kwao utapata majibu sahihi zaidi au pitia kwa wakala wa DSE anaitwa solomoni brokers wanatoa hyo huduma bure
 
Siti ya mbele kabisa, nasubiri wenye hii elimu waje
 
Ni bora uende pale ofisini kwao utapata majibu sahihi zaidi au pitia kwa wakala wa DSE anaitwa solomoni brokers wanatoa hyo huduma bure
Naomba link ya kuwasiliana na huyo wakala!
 
Back
Top Bottom