Habari kwenu wasomi na wabwebwezi wa sheria! Moja kwa moja niende kwenye shida yangu..nimekua nikifahamu makosa au case za jinai zinaendeshwa na Jamuhuri hivyo zinakua ktk mtindo huu..MF:Juma V/s R..lakin basi nimekua nachangamoto ya kuelewa nikatika mazingira gani case zinaweza kua na citation kama zifuatazo...
1-Juma S/o Hoza V/s AG
2-AG V/s Juma S/o Hoza
3-Dpp V/s Juma S/o Hoza
4-Juma S/o Hoza V/s DPP
Naomba kueleweshwa nicase za aina gani/ni circumstances zipi zina Fanya case kua na mifano ya citations hizo??
[/QUOT
serikali kawaida unaishtaki kupitia mwanasheria mkuu wa serikali yaan AG(Attorney General).S/o =Son of(mtoto wa).Dpp=Mwendesha mashtaka wa serikali.Unapoikosea jamuhuru unashtakiwa na Jamuhuri kupitia ofis ya mwendesha mashtaka wa serikali
HABARI ZA JIONI NDUGU,Habari kwenu wasomi na wabwebwezi wa sheria! Moja kwa moja niende kwenye shida yangu..nimekua nikifahamu makosa au case za jinai zinaendeshwa na Jamuhuri hivyo zinakua ktk mtindo huu..MF:Juma V/s R..lakin basi nimekua nachangamoto ya kuelewa nikatika mazingira gani case zinaweza kua na citation kama zifuatazo...
1-Juma S/o Hoza V/s AG
2-AG V/s Juma S/o Hoza
3-Dpp V/s Juma S/o Hoza
4-Juma S/o Hoza V/s DPP
Naomba kueleweshwa nicase za aina gani/ni circumstances zipi zina Fanya case kua na mifano ya citations hizo??
Sawa mkuu kwa ufafanuzi wako ila nilichotaka kujua in case zipi ndio zinaweza kua na citation zinazojumuisha DPP au AG?HABARI ZA JIONI NDUGU,
KWA MAELEZO MAFUPI NI KUWA UKIONA CITATION YA CASE YENYE MUUNDO WA AINA KAMA ULIZO ORODHESHA HAPO, ( MF; JUMA S/O HOZA V. AG/DPP ) NI KWAMBA KESI HUSIKA INA WAHUSU JUMA SON OF HOZA VERSUS ATTORNEY GENERAL/DIRECTOR OF PUBLIC PROSECUTIONS. KWAHIYO (S/O) MEANS SON OF SOMEBODY.
mfano kesi za kikatiba unakilalamikia ibara Fulani ya katiba ambapo serikali inakiona kipo sawa .unatinga Mahakama kuu kesi utakayofungu ni dhidi ya mwanasheria wa serikali mnamuita Attorney General.mfano "pinda case's " TLS vs AG dhidi ya Ibara ya 100 ya Katiba ya jamhuri ya muungano.Ukiona kesi IPO Juma vs Ag ujue serikali inalalamikiwa.Sawa mkuu kwa ufafanuzi wako ila nilichotaka kujua in case zipi ndio zinaweza kua na citation zinazojumuisha DPP au AG?
Maana kwa jinai case zinajumuisha mtuhumiwa na Jamuhuri(Juma S/o Hoza V.R)sasa hizi za Juma S/o Hoza v DPP Au AG,hizi nicase za vipi??
Ahsante kwa ufafanuzi mzuri na vipi citation zinazo involve DPP hapa inakuaje?mfano kesi za kikatiba unakilalamikia ibara Fulani ya katiba ambapo serikali inakiona kipo sawa .unatinga Mahakama kuu kesi utakayofungu ni dhidi ya mwanasheria wa serikali mnamuita Attorney General.mfano "pinda case's " TLS vs AG dhidi ya Ibara ya 100 ya Katiba ya jamhuri ya muungano.Ukiona kesi IPO Juma vs Ag ujue serikali inalalamikiwa.