Nimemaliza degree B.A in ed with geography mwaka jana. ila GPA yangu ni 3.22 nataka kuchukua master distance learning. sasa nadhani itashindikana kuendelea na ualimu kutokana na GPA below 3.5 . hebu nipeni ushauri nichukue kozi gani ambayo itaendana na fani yangu ya education namaanisha uwanja huu huu bila kusomesha?
pili je nikiwa mwalimu ktk serikali kwa mfano nikimaliza iyo master uwezekano wa kupangiwa sehem nyengine ktk uwanja huo huo wa elimu je upo?
pili je nikiwa mwalimu ktk serikali kwa mfano nikimaliza iyo master uwezekano wa kupangiwa sehem nyengine ktk uwanja huo huo wa elimu je upo?