Naombeni ufafanuzi wana JF

Naombeni ufafanuzi wana JF

makwetu

Senior Member
Joined
Jan 19, 2013
Posts
124
Reaction score
28
Jamani naomba mnijulisheni, niko gizani, hivi ualimu ngazi ya cheti wanachuo watalazimika kusoma kwa miaka 3 kwa wale wale wenye division 4 ya pointi 26, 27 kwa miaka ya nyuma na wa 2013 wenye pointi ,32 na 34?
 
Ufafanuzi utaupata mkuu, pelekea jukwaa husika la Elimu!!
 
Back
Top Bottom