huyu dada anauliza makofi polisi ? kuna njemba zina mbegu zenye nguvu siku yeyote ukikubali bila kinga ujue baada ya miezi tesa tunakaribisha Mtanzagiza mwingine ulimwenguni lol!hehehe kagreti thinka junior kanakuja, kinamama tunaomba vigelegele kidogo!
huyu dada anauliza makofi polisi ? kuna njemba zina mbegu zenye nguvu siku yeyote ukikubali bila kinga ujue baada ya miezi tesa tunakaribisha Mtanzagiza mwingine ulimwenguni lol!
mkuu haya mambo ya kalenda ndio yanaongeza abosheni kuna babu yangu aliniambia watoto wake wote walizaliwa kwa yeye kajamiana na mkewe zile siku 2-3 baada ya hedhi na wanapumzika wiki kabla ya kuendelea na ile ya leisure teh teh teh!Kuna njemba niliwahi kuishuhudia inaondoka na supu ya kenge halaf salad yake ni majani ya mtumbaku! heheeh sasa unazani njemba kama hii inaathiriwa na kalenda? ,
to cut ze stori short: umeongea nukta kamanda, kuna njemba hata mdada awe kwenye siku zake wao zinatingisha nyavu!
hapa kinachotakiwa greti thinka atayarishe jina tu la kajunior ketu
mkuu haya mambo ya kalenda ndio yanaongeza abosheni kuna babu yangu aliniambia watoto wake wote walizaliwa kwa yeye kajamiana na mkewe zile siku 2-3 baada ya hedhi na wanapumzika wiki kabla ya kuendelea na ile ya leisure teh teh teh!
Jamani eeh,naombeni ufafanuzi katika hili. Hivi kama mi nakuwa mwezini(hedhi) kila tarehe 5 ya mwezi, nikifanya tarehe 14 nitakuwa hatarini?........Nimeuliza hivyo kwasababu nilifanya tarehe 14-07-2011,kutoka tarehe 05 mwezi huu mpaka sasa sijaziona sik* zangu. Ufafanuzi tafadhali........
Jamani eeh,naombeni ufafanuzi katika hili. Hivi kama mi nakuwa mwezini(hedhi) kila tarehe 5 ya mwezi, nikifanya tarehe 14 nitakuwa hatarini?........Nimeuliza hivyo kwasababu nilifanya tarehe 14-07-2011,kutoka tarehe 05 mwezi huu mpaka sasa sijaziona sik* zangu. Ufafanuzi tafadhali........
<br />Hey wanajf,ahsanteni sana kwa mawazo yenu.......Mi ni kidume jama,ila niliuliza kwa niaba ya rafiki(me) na mpenzi wake..Wao co wanachama wa jf..
<br />Hey nyalosti uliza 2,naweza kukujibu kwa niaba ya.....Kama nilivyouliza swali..Dah!Unazimua mpaka mwezi mtukufu?