elias godfrey
Member
- Oct 13, 2012
- 35
- 6
Habare zenu mm ni kijana ambae npo chuo ngazi ya chet wakubwa heshima kwenu wadogo wenzangu mambo vp naombeni ukweli kuhusu hili eti unapomaliza diploma unapotaka kujiunga na bachelor unapotaka kuapply chuo kwa ajili ya degree eti kipi kina matter sanaa ni matukio ya diploma peke yke au matokeo ya diploma na D5? naombeni kujua kuhusu hili