Naombeni ukweli kuhusu kujiunga na bachelor degree

elias godfrey

Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
35
Reaction score
6
Habare zenu mm ni kijana ambae npo chuo ngazi ya chet wakubwa heshima kwenu wadogo wenzangu mambo vp naombeni ukweli kuhusu hili eti unapomaliza diploma unapotaka kujiunga na bachelor unapotaka kuapply chuo kwa ajili ya degree eti kipi kina matter sanaa ni matukio ya diploma peke yke au matokeo ya diploma na D5? naombeni kujua kuhusu hili
 

Edit maelezo yako afu uje tena! Acha kuandika kwa woga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…