Wandugu....nina ombi moja; Katika karne hii ya saa la hansi na teke linalokujia inabidi tuendane na wakati, najaribu kuichungulia kuona kama UNIX OS ni mwake, lakini ninapata shida moja, hazipatikani kihivyoo, kuna mwenye nayo humu jamvini? Kama kuna mtu anayo naomba, au niende wapi kuipata...
Aksanteni...
Unaweza pia ukaomba free CD ya Ubuntu kwa ajili ya 64-bit PC na 32-bit PC. Tembelea hapa upate CD yako au downlod http://www.ubuntu.com
Kazi kwako