A Architects New Member Joined Nov 1, 2010 Posts 2 Reaction score 0 Nov 5, 2010 #1 Ingawaje uchakachuaji ulijitahidi kushika nafasi yake, lakini nashukuru mungu upinzani utakuwa wa ukweli Mjengoni mwaka huu ila sijajua huyu mdau(JK) hadi hivi sasa amefikisha % ngapi?
Ingawaje uchakachuaji ulijitahidi kushika nafasi yake, lakini nashukuru mungu upinzani utakuwa wa ukweli Mjengoni mwaka huu ila sijajua huyu mdau(JK) hadi hivi sasa amefikisha % ngapi?