Naombeni ushaur

Binamu nyama ya hamu, ondoka hapa jamvini nenda ukamuwashe halaf utupe feedback
 
hahahaahahah mhh kuna mambo humu,ulujiwekaje wekaje mpaka akaanza kukutaka ndugu!
 
Kwani lazima ufanye uzinzi? Unaomba ushauri wa kutenda dhambi, fanya mwenyewe kama nafsi yako inakuruhusu. Kwa nini unataka tushiriki na wewe dhambi zako. Beba mwenyewe mizigo yako.
 
Kuna ubaya...ni nduguyo huyo....mwambie hutaki...unaheshimu undugu mlio nao...!:eyeroll1:
 
Halafu hawa mabinamu!! hapo akikataliwa anaweza hata baka, mkatalie halafu waambie wakubwa wa family ili akae mbali na wewe
 
chukua tu huyo binamu halali yako, kiislamu inaruhusiwa.
kwa wenzetu nchi za kiaarabu, wengi tu waoa au kuolewa na binamu zao.
ila kama mtazaa tegemea madhara ya "consanguinity" mengi tu yaweza kujitokeza kwa watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…