Katoto kadhuri
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 759
- 327
Mmh jmn ndio hadi sirini?Wanawake hamueleweki si ni maumbile tu ya kawaida kwa mwanaume we ulitaka afanane na wewe au
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena nyani[emoji23][emoji23][emoji23]Atakua mnyama huyo
Manyoya kwani yeye kuku?Ni MWezi sasa tuko ktk mahusiano na huyu kaka ila cha kusikitisha anamanyoya mengi hasa kifuani, miguuni, mikononi, mgongoni hadi kwenye uume, somtymz nakereka kwakweli
Hivi jamani wanaume wote mko hivi?
Huyo atakuwa Sokwe [emoji23][emoji23][emoji23]Ni MWezi sasa tuko ktk mahusiano na huyu kaka ila cha kusikitisha anamanyoya mengi hasa kifuani, miguuni, mikononi, mgongoni hadi kwenye uume, somtymz nakereka kwakweli
Hivi jamani wanaume wote mko hivi?
Dooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyani mzeeTena nyani[emoji23][emoji23][emoji23]