Katoto kadhuri
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 759
- 327
- Thread starter
-
- #81
Jmn garden si kifuani? Hadi siriniwanawake mnatuchosha sasa, si ndio mnasemaga mnapenda garden love? sasa hatimae Mungu kakupa sasa unaanza kukeleka
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapanq ni kijana tuInasemekana watu wa Aina kama ya huyo jamaa yako
Waliumbwa kwa majaribio enzi za adam na hawa.Huyo jamaa pengine yupo toka kipindi hicho.
Tulianzia kwenye unyama tukaja kwenye ubinadamu huyo mtu wake aliendelea na unyama tu ndio mana bado ana manyoyaKwani watu sio wanyama?
[emoji23]Njoo kwangu uje dhibitisha kama wanaume wote wako hivyo, bureee kabisa wala hulipii
DooohHistory and Science vinasema tulikuwaga Apes
Hii Simu Sio Ile, Hii Ni Hii
Nipo wifi napita pita tuu huku na kule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wifi kumbe upo[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Wala siyo weweKwa hiyo ndo umekuja kunshtakia jf au...sasa siyakati labda unipige kiberiti
Sent using Jamii Forums mobile app
Rafiki mambo?[emoji4][emoji4][emoji4]Dooh haki naogopa
Poa mambowRafiki mambo?[emoji4][emoji4][emoji4]
Mengi mnoo harafu magumUkituuliza wanawake tunataka nini jibu litakalofanana ni Pesa lakini mengine yote tutatofautiana,wengine tunahusudu hizo nywele wewe unalalamika!! Basi vurugu vurugu
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo tena nakufuata kila mahali![emoji4][emoji4][emoji4]Poa mambow
Wapi tena ulinifata mwenzanguLeo tena nakufuata kila mahali![emoji4][emoji4][emoji4]