beautifulonyinye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 728
- 481
Namaanisha mtu ambae hamjaenda kupima kama ni boyfriend/girlfriend utamjuajeKwani vipimo havionyeshii,,,,
Hatari ya nnHii hatarii
Habari wakati huu, Mm naombeni ushauri nitamjuaje MTU Mwenye HIV CAREER au ni dalili zipi zinaonyesha MTU Mwenye HIV career , Nasubiri ushauri[emoji144] [emoji144]
Mkuu linapokuja swala la ugonjwa wowote badala ya kupiga ramli na kucheza bahati nasibu nyoosha hospitali kupata vipimo. Macho siyo kipimo sahihi cha ugonjwa wowote ule.Namaanisha mtu ambae hamjaenda kupima kama ni boyfriend/girlfriend utamjuaje
Pole kwa kuwa hujaiona hatari yenyeweHatari ya nn
Nilimaanisha carrierKumbe mpaka HIV Ina career!?
Hata mada tu ni hatari sana inaogopesha!Hatari ya nn
Mm napima kila baada ya miez 3 mkuu ila huyo mwenzangu ndo hapendi kupima ndo maana naulizaMkuu linapokuja swala la ugonjwa wowote badala ya kupiga ramli na kucheza bahati nasibu nyoosha hospitali kupata vipimo. Macho siyo kipimo sahihi cha ugonjwa wowote ule.
PS. Ikiwa hautojali nitakusindikiza kupima.
Sasa kipya kipi hapo ambacho hujawahi kuskiaHata mada tu ni hatari sana inaogopesha!
Yaani inasikitisha mpaka leo hujajua kwamba mwenye ukimwi unaweza kumjua kwa njia gani?Namaanisha mtu ambae hamjaenda kupima kama ni boyfriend/girlfriend utamjuaje
Tangu uwe naye umeshapima katika hiyo interval ya miezi 3? Mna muda gani?Mm napima kila baada ya miez 3 mkuu ila huyo mwenzangu ndo hapendi kupima ndo maana nauliza
Ndio nionyeshe we uloionaPole kwa kuwa hujaiona hatari yenyewe
Ukiona anakuvutia kimapenzi.Habari wakati huu, Mm naombeni ushauri nitamjuaje MTU Mwenye HIV carrier au ni dalili zipi zinaonyesha MTU Mwenye HIV Carrier , Nasubiri ushauri[emoji144] [emoji144]
Mbona mkali kama mgonjwa wa????? tulia acha panic everything gonna be alright!Sasa kipya kipi hapo ambacho hujawahi kuskia