beautifulonyinye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 728
- 481
- Thread starter
-
- #141
Mbona matus mkuunyambaf post gan hii ss mkuu
hahahaa mkuu sitak stress tenaa yaani nilikaa kwa waswas sana af bahat mbaya ama nzuri huyo manzi nlipigaga kimojaa tyuu huendaa ndo ilisaidiaa nsiukwaee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji87] mkuu sasa hiyo nyeto c ndo mbaya zaidi
Hahahahahahaha sijawahi ona Binadamu anafikia joto la 102 degrees Centigrade labda kama ulilenga kutania tu, alafu hizo dalili hata mtu mwenye infectious disease kama Malaria, Septicemia nk, Kansa pia wanazo......wewe cha msingi mshauri tu akapime kwishnei1)kua na homa mda wote kufikia mpk kiwango 102 degrees c.
2)uchovu,mwili kuchoka mda wote.
3)kuuma kwa misuli,kupata maumivu ktk tezi mfano kwapa,maeneo ya shingon.n.k
3)kuvimba kwa koo.
4)maumiv ya kichwa mara kwa mara
5)vipele pele ktk mwili,hua vinawasha sn.
6)kuhis kichefchef,kutapika pia kuharisha.
7)kua na kikohozi kikavu
8)kuanza kupungua uzito taratibu.
9)kutokwa na jasho usiku
10)kupata siku mwezi(period)bila mpangilio.
Achana nae huyo kwanza kama anatumia condom hana future na ww na ana wanawake wengine , Mwanaume ambae anakuwazia mema mbeleni angekubali kupima na ww ili na ww akiamini ssa Mwanaume karidhika tu na mapenzi ya condom hyo nae unamuhesabu, Hebu acha kujitupa kifoniTulikuwa tunatumia kinga ila kinga haziaminiki
Mkomalie mkapime tu Ndugu, otherwise utaendelea kuteseka kwa mawazoTunatumia kinga dats y simuamini
Macho hayana uwezo wa kupima HIV ndugu!!Namaanisha mtu ambae hamjaenda kupima kama ni boyfriend/girlfriend utamjuaje
Hakuna dalili unayoweza sema hii ni ya HIV at that stage na ni HIV carrier maana symptoms zinashabihiana na magonjwa mengine, cha muhimu nenda mkapime tuNi hivi mtu mwenyewe hataki kupima, na kuna dalili ambazo hazijifichi hizo kila MTU anazijua lkn kuna mwingine ni carrier ndo nataka nijue nitamjuaje huenda ni Carrier japo tunatumia kinga lkn kinga hizi haziaminiki
Umri wako ni miaka mingapi kwani?Namaanisha mtu ambae hamjaenda kupima kama ni boyfriend/girlfriend utamjuaje
SijakuelewaNimepitia Baadhi Ya comments Za wadau Na jinsi Mtoa Mada anavyojibu.
Pole sana Mtoa Mada..Ukimwi Ni Ugojwa wa Kawaida Don't Be Afraid.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]hahahaa mkuu sitak stress tenaa yaani nilikaa kwa waswas sana af bahat mbaya ama nzuri huyo manzi nlipigaga kimojaa tyuu huendaa ndo ilisaidiaa nsiukwaee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nishafanya maamuzi mkuuMuepuke huyo kama ukoma may be yeye tayari ashajijua.. ukoa nafsi yako mkuu...
Nishafanya maamuzi mkuuAchana nae huyo kwanza kama anatumia condom hana future na ww na ana wanawake wengine , Mwanaume ambae anakuwazia mema mbeleni angekubali kupima na ww ili na ww akiamini ssa Mwanaume karidhika tu na mapenzi ya condom hyo nae unamuhesabu, Hebu acha kujitupa kifoni
Utamtambua kwa matendo yake. HIV haidanganyi!Namaanisha mtu ambae hamjaenda kupima kama ni boyfriend/girlfriend utamjuaje
Hahaha[emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13]Dalili zake ni.... Kma ni mwanaume huwa anahonga sana yy hajali kumpa dem laki moja ya nauli ya tex au Km ni mwanamke yy akitongozwa hakatai yani siku hiyo hiyo unajipigia tu yani daily mtu wa kusuguliwa