happy amos
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 251
- 434
Asante sana umenitia moyoMuulize Mungu kama una nyota ya biashara sio mwanadamu, sisi wote ni wapita njia hatujafika tuendapo. Namaanisha umuombe Mungu, iombee biashara yako usimwamini kila mtu hata shekhe, binadamu wana maneno ila Mungu ana Neno juu yako.
Dawa gani za mtaji wa 1m? Au miziziology?Jamani mi nataka kufungua duka la dawa
Kuna shekhe mmoja kaniambia Nyota yangu sio ya kukaa Dukan
Jaman nauliza eti biashara inaendana na nyota??? Hapa nimechanganyikiwa nimeshanunua vitu....nimeanza ukarabati na umenicost karibia 1mil.....sasa nifanyeje? Naomben ushauri wapendwa
Kosa lako ni kumsikiza huyu unayemuita Shekhe, hata hivyo mtu anayekaribia kuwa kichaa hawezi kujua atakuwa kichaa!! kwa hiyo huwezi kuwa kichaa ila ukiendelea kumsikiliza huyu jamaa basi utakuwa!!Jamani mi nataka kufungua duka la dawa
Kuna shekhe mmoja kaniambia Nyota yangu sio ya kukaa Dukan
Jaman nauliza eti biashara inaendana na nyota??? Hapa nimechanganyikiwa nimeshanunua vitu....nimeanza ukarabati na umenicost karibia 1mil.....sasa nifanyeje? Naomben ushauri wapendwa
Elewa nimesema maandalizi mpaka sasa yamenicost 1mDawa gani za mtaji wa 1m? Au miziziology?
Ha ha ha ha umenifurahisha SanaHakuna nyota duniani.
Nyota ni mkutano wa gesi zilizokua na joto kali na kusababisha moto mkubwa.
Ila humiliki nyota. Au kuna nyota ulinunua? Mwambie ndio hauna nyota.
AsantePole sana Ndugu.
Usiamini maneno ya huyo anayejiita Shekhe, we fanya biashara zako kwa Juhudi huku ukimuomba Mungu.
Anayegawa riziki ni Mungu pekee wala siyo nyota yako au maneno ya Shekhe.
Mungu akusimamie.