Naombeni ushauri hapa ipi nichukue kati ya volkswagen up na passo?

nentewene

Senior Member
Joined
Jun 9, 2017
Posts
144
Reaction score
94
Habari wakuu, nilikua napenda kuchukua hii german car , volkswagen up ya 2012- coz ina cc ndogo(1000) pia nimependa muonekano. wasiwasi sijawahi ziona bongo kwahiyo sinahakika kama mafundi wako vizuri kweny hivi vigari.

Naomba ushauri wenu au nipambane na Passo tu?

v3.jpg
v2.jpg
v1.jpg
 
Aisee, siwezi kukukataza, ni jambo zuri kuwa wa kwanza 'muanzilishi' lakini naamini unajua hali yetu haswa kwa mafundi wetu ilivyo.

Sina hakika sana wanaweza kuwa na ubobezi nayo, na kikubwa zaidi hata upatikanaji wa vipuri vyake navyo sijui kama ni rahisi-rahisi.

Unaweza kuichukua ila jaribu kuichukua kwa tahadhari.

Na badala ya passo, kwanini usiingie kwenye Ist moja kwa moja. Ama vitz.?!

Hayo ni mawazo yangu, i stand to be corrected.

P. Oligarchy
 
Thanks mkuu kwa ushauri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom