Aisee, siwezi kukukataza, ni jambo zuri kuwa wa kwanza 'muanzilishi' lakini naamini unajua hali yetu haswa kwa mafundi wetu ilivyo.
Sina hakika sana wanaweza kuwa na ubobezi nayo, na kikubwa zaidi hata upatikanaji wa vipuri vyake navyo sijui kama ni rahisi-rahisi.
Unaweza kuichukua ila jaribu kuichukua kwa tahadhari.
Na badala ya passo, kwanini usiingie kwenye Ist moja kwa moja. Ama vitz.?!
Hayo ni mawazo yangu, i stand to be corrected.
P. Oligarchy