Habari wadau,
Binafsi nimeamua mwaka huu nami nimiliki eneo maana naona umri unazidi kuyoyoma sitaki kuja kuwa historia huko mbeleni.
Mada ya huu uzi ni hivi nimeenda kuangalia kiwanja tuanze na kisichipomwa ni kuwa kinauzwa millioni 3 lakini mwenyewe anapokea hata 2M na nyingine kidogo kidogo na kina kama 400 hadi 500 SQM maana sijabeba kwa vipimo vya kienyeji ila kina changamoto ya barabara kwani muuzaji anauza nyuma na yeye yupo mbele sasa hakuna road ya kunifikisha hadi kwangu ingawa nyumba za jirani washapimiwa tayari na hiki kingine ni kutoka haya makampuni ya real estate kina 680 SQM na thamani yake ni thamani ya 8m ambayo unaanza na 25% iliyobaki kidogo kidogo hadi mwaka 1 na kishapimwa tayari.
Sasa naombeni ushauri je, nijilipue hiki unsurveyed ili nipunguze gharama au nichukue surveyed ingawa cost yake ipo juu. Maeneo yapo wilaya ya Bagamoyo na Kibaha na pia naombeni faida na hasara ya meneo yote mawili.
Nawasilisha