Naombeni ushauri juu ya biashara ya sabuni za maji

prooo

Member
Joined
Jun 1, 2017
Posts
39
Reaction score
11
Ndugu wana JF,

Mimi ni mwanafunzi wa chuo hivi sasa nimemaliza field yangu, nina muda wa mwezi mmoja mkononi nafikiri kuanzisha biashara ya kuuza sabuni za maji katika mashule na sehemu mbalimbali.

Naomba ushauri katika hiki, ni jinsi gani naweza fanya biashara hii kuwa yenye faida.
 
Biashara ya sabuni za maji ina faida sana tu ukipata soko, weka package nzuri, ikiwa na lebo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…