Nikwamue kwenye tuta jamani...
Hapa kuna ndugu yangu, mtoto wake anayesoma darasa la saba kabakwa na kijana wa jirani yake na kumrubuni msichana kisha wakampeleka kwao.
Baba mzazi wa msichana amejitahidi kuripoti polisi bila msaada. Mbaya zaidi walipoona baba msichana anafatilia polisi wameamua kumtelekeza mtoto huku anaumwa baba alipompeleka hospital ikaonesha ni mjamzito.
Sasa haijulikani pa kuanzia hasa baada ya mtoto kupewa mimba na uongozi wa Kijiji sifahamu kwa mazingira yapi hawajishughulishi kumsaidia baba msichana na hatima haijulikani kwani hata polis alipoenda kushitaki haioneshi kuwafatilia lolote ni kimya n'a msichana kapewa mimba tayari mwaka huu yupo darasa la Saba.
Wadau tuanzie wapi kuvuka tuta hili?
Namba ni 0763227257