Naombeni ushauri juu ya kesi hii ya Ubakaji

makoke21

Member
Joined
Apr 23, 2014
Posts
20
Reaction score
5
Nikwamue kwenye tuta jamani...

Hapa kuna ndugu yangu, mtoto wake anayesoma darasa la saba kabakwa na kijana wa jirani yake na kumrubuni msichana kisha wakampeleka kwao.

Baba mzazi wa msichana amejitahidi kuripoti polisi bila msaada. Mbaya zaidi walipoona baba msichana anafatilia polisi wameamua kumtelekeza mtoto huku anaumwa baba alipompeleka hospital ikaonesha ni mjamzito.

Sasa haijulikani pa kuanzia hasa baada ya mtoto kupewa mimba na uongozi wa Kijiji sifahamu kwa mazingira yapi hawajishughulishi kumsaidia baba msichana na hatima haijulikani kwani hata polis alipoenda kushitaki haioneshi kuwafatilia lolote ni kimya n'a msichana kapewa mimba tayari mwaka huu yupo darasa la Saba.

Wadau tuanzie wapi kuvuka tuta hili?

Namba ni 0763227257
 
Waambie waende wakatoe taarifa kwa mkuu wa mkoa.
 
Kesho asubuhi sana wahi kwa Mkuu wa Wilaya ukamjuze hili suala.
 
Nenda kwa mjumbe wa nyumba 10 toa taarifa na aandike barua ya kuwaita wale watuhumiwa. Au nenda kituo kingine na cha police na uje umkamate mtuhumiwa. Au nenda kwa mkuu wa shule akupe mwongozo isipokuwa usipende Sana'a kumtaja kijana kama ndio mtuhumiwa kwa maana atatoloka.

Ikitokea mtuhumiwa ametoloka nenda kamchukulie rb ambayo haina ukomo,maana huyo akitoroka atarudi mwezi wa 12kipindi ambacho wanafunzi wamemaliza shule akiamini hakuna kesi, ww mchukulie rb ambayo haina ukomo hata miaka 10 ikipita uweze kumkamata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…