Ni miezi saba sasa tangu nilivowasilisha, fomu ya kudai mafao ya ukosefu wa ajira pale PSSSF. Ila Cha ajabu hadi Sasa Bado hawajinilipa pesa zangu. nipo stressed sana.
Nilitegemea hizo hela niweze fanya biashara, lakjni hadi Leo bila bila, nimekua mtu tegemezi, sina hata mia mfukoni, mpaka nimeanza kua kero kwa watu. Dah, yani sina amani hata kidogo.
Naombeni mnishauri kama mtu hajalipwa mafao yake kwa wakati, ni hatua gani anaweza chukua ili alipwe na wahusika?