Najua wapo wengi hawajalipwa kitambo zaid yangu. Ishu ni je tunaweza fanyeje ili tulipwe?Miezi saba tu? Kuna mwanangu mmoja anadai toka 2020, na huwa anaenda almost kila week ofisini kwao ila hola!
Uko mkoa gani?Ni miezi saba sasa tangu nilivowasilisha, fomu ya kudai mafao ya ukosefu wa ajira pale PSSSF. Ila Cha ajabu hadi Sasa Bado hawajinilipa pesa zangu. nipo stressed sana. Nilitegemea hizo hela niweze fanya biashara...
Asante Kwa ushauri, nitafanya hiviUko mkoa gani?
Au fanya hivi nenda ofisi ya Mkuu wa wilaya ama mkoa kutoa lalamiko lako kwamba unechelewa