Naombeni ushauri katika hili

Victor Junior

Member
Joined
May 26, 2012
Posts
64
Reaction score
8
Nina mdogo wangu anemaliza kidato cha nne 2013 na matokeo amepata Div III ya 29
Civ-D, Hist-D, Geog-D , chem-D , Bios-D , Math-C, Kisw-B+, Eng-B & Phy-E
Chaguo ni kwenda chuo cha serikali either cha Nursing au Kilimo naombeni msaada chuo kipi cha serikali angeweza kwenda kwa course hizo hapo mbili..
 
faham sifa za kujiunga katka hivyo vyuo unavyo taka kwa Nursing certificate pass kuanzia D, ukijumuisha Bios, Chem na Phys.
 
diplma mfano hapa muhas ni avarage C grade n above,bt kuna competition xana,waweza kuapply maana tayar wameanza ku2ma maomb ya kujiunga
 
aombe tu kilimo kwasababu huo unesi siku hizi wanataka pass ya physics
 
diplma mfano hapa muhas ni avarage C grade n above,bt kuna competition xana,waweza kuapply maana tayar wameanza ku2ma maomb ya kujiunga

asante mkuu lakini kwahiyo kwa matokeo hayo nawez kupata nafasi..?na ni process zipi za kufuata?
 
asante mkuu lakini kwahiyo kwa matokeo hayo nawez kupata nafasi..?na ni process zipi za kufuata?

muhas kuna competition xana mkuu,mwaka wetu waliomba watu 691 ktk kozi ya pharmacy tu lakn ni wanafunzi 26 tu tuliopata nafasi,naomba ukae chini ufikirie ushindani huo,hii itakusaidia kufanya uamuzi wa busara. kuhusu kutuma maombi,unapaswa kujaza form inapatikana ktk website ya chuo www.muhas.ac.tz ,baadaye unawasilisha form hiyo chuoni uongoz wa admission.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…