naombeni ushauri ktk hili.

naombeni ushauri ktk hili.

kapu

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
218
Reaction score
44
helow wana jf"hivi mtu anaeza kujiunga na degree mwakani ila alimaliza mwaka 2007 na atajilipia mwenyewe,naombeni msaada na ushauri wenu.
 
kaka muhmu ni msaada wako ndo maana nimeuliza ili nielewe mambo yanabadilika.
 
samahani namaanisha alimaliza form six mwaka 2007 na ana dde katika matokeo yake na amesoma hgl.
 
Naamini unamaanisha ulimaliza form 6 mwaka 2007. Unaweza kujiunga na chuo kikuu bila shida yoyote. Habari njema ni kuwa minimum points za kujiunga zimeshushwa sana mpaka 2.5 yaani E, E na S inatosha kwa baadhi ya vyuo/course. Kwa upandevwa mikopo itolewayo na HESLB kuna resrriction kuwa lazima uwe umemaliza form 6 ndani ya miaka miwili. Mfano km unaomba mkopo wa mwaka 2013/14 kwa mara ya kwanza basi ni lazima uwe umemaliza form 6 mwaka 2011, 2012 au 2013 yenyewe...
 
Inawezekana mkuu.ondoa hofu kabisa.
 
helow wana jf"hivi mtu anaeza kujiunga na degree mwakani ila alimaliza mwaka 2007 na atajilipia mwenyewe,naombeni msaada na ushauri wenu.

Kwanza hueleweki. Pili, kwa nini usiende kuuliza vyuoni? Hii, mada yako ni dhaifu.
 
nashukuru sana bro umenpa ufumbuzi wa tatizo na ni kweli mie ndo muhusika mkuu.
 
Inawezekana hata kama ungekuwa umemaliza form 6 mwaka 1990
 
Back
Top Bottom