Naamini unamaanisha ulimaliza form 6 mwaka 2007. Unaweza kujiunga na chuo kikuu bila shida yoyote. Habari njema ni kuwa minimum points za kujiunga zimeshushwa sana mpaka 2.5 yaani E, E na S inatosha kwa baadhi ya vyuo/course. Kwa upandevwa mikopo itolewayo na HESLB kuna resrriction kuwa lazima uwe umemaliza form 6 ndani ya miaka miwili. Mfano km unaomba mkopo wa mwaka 2013/14 kwa mara ya kwanza basi ni lazima uwe umemaliza form 6 mwaka 2011, 2012 au 2013 yenyewe...