Mayova Senior Member Joined May 10, 2018 Posts 189 Reaction score 132 Jun 23, 2023 #1 Msaada kwa wale wazoefu wa biashara ya MGAHAWA naombeni uzoefu kwenye changamoto na faida ya hii biashara. Tanguliza shukrani [emoji120][emoji120]
Msaada kwa wale wazoefu wa biashara ya MGAHAWA naombeni uzoefu kwenye changamoto na faida ya hii biashara. Tanguliza shukrani [emoji120][emoji120]
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 10,644 Reaction score 32,375 Jun 23, 2023 #2 Ngoja waje
wajingawatu JF-Expert Member Joined Jan 20, 2013 Posts 2,046 Reaction score 2,453 Jun 23, 2023 #3 Usafi wa vyombo, wahudumu, wapishi, na jengo/kilinge; tasty and nutritious food; huduma nzuri; eneo/location.
Usafi wa vyombo, wahudumu, wapishi, na jengo/kilinge; tasty and nutritious food; huduma nzuri; eneo/location.
mchonjoya Member Joined Aug 17, 2016 Posts 81 Reaction score 200 Jun 23, 2023 #4 Iko poa sana,kama utazingatia na kufata yafuatayo. Usafi Chakula kizuri Wahudumu wenye nidhamu na ukalimu. Ubunifu wa vyakulala Uduma kupatikana kwa uwakika Nk. Sent from my F-02H using JamiiForums mobile app
Iko poa sana,kama utazingatia na kufata yafuatayo. Usafi Chakula kizuri Wahudumu wenye nidhamu na ukalimu. Ubunifu wa vyakulala Uduma kupatikana kwa uwakika Nk. Sent from my F-02H using JamiiForums mobile app
Dr Msweden JF-Expert Member Joined Nov 3, 2020 Posts 2,629 Reaction score 9,530 Jun 23, 2023 #5 1-Usafi 2-chakula kizuri 3-utamaduni
Papaa Gx JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 11,097 Reaction score 17,929 Jun 24, 2023 #6 Mac Alpho njoo utie neno hapa best.