Naombeni ushauri kuhusu biashara ya stationery

Naombeni ushauri kuhusu biashara ya stationery

emmanicotz

New Member
Joined
Sep 23, 2024
Posts
2
Reaction score
2
Ndugu zangu naomba kujua kwa wale wanaona fanya biashara ya stationary, naipenda sana lakini watu wengi wanasema hailipi ni biashara ya msimu tu.

Je nitawezaje kufaidika na hiyo biashara maana ndio nitakayoitegemea kwa ajili kuendesha ya familia na mambo mengine.

Naombeni ushauri maana nina milioni 4 kama mtaji.

Soma: Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji
 
Swala la kwanza ni location?
Unalenga nini haswa copy,printing au uuzaji wa stationeries,ukijua hapo hakikisha location yako inaendana na unacholenga.
Pia usikae kinyonge weka miamala ya simu,friji ya vinywaji nk.
 
Back
Top Bottom