Naombeni ushauri kuhusu diploma ya mifugo...

Naombeni ushauri kuhusu diploma ya mifugo...

Tatemahunda

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
232
Reaction score
91
habari wana jf!!!!. mimi ni kijana wakitanzania niliyehitimu mafunzo ya kilimo ngazi ya cheti (general agriculture) na sasa nataka nisome diploma ya mifugo ila sijui ni vigezo gani nifuate ili kupata chuo..pia cjajua ni chuo gani kitanipatia diploma yenye tija ktk vyuo vya mifugo...pia Naombeni kujuzwa muda nitakaotumia hadi kuhitimu..na gharama zitakazohitajika hadi kuhitimu...nawasilisha
 
nenda kwenye wavuti ya wizara ya mifugo na uvuvi utakuta application form ina maelezo yote. Ila kwa kifupi kozi ni ya miaka miwili, kiwango cha ada itategemea kama utapata udhamini wa serikali au la! (form inajieleza).
Vyuo vinavyotoa diploma vya serikali ni LITA Tengeru, Mpwapwa, Morogoro, Madaba nadhani na Mabuki. hiyo certificate yako ya kilimo inakidhi vigezo vya kujiunga,
Kwa maelezo zaidi tembelea "www.mifugouvuvi.go.tz" au nichek kwa 0716649482. Mi nasoma Mpwapwa hiyo diploma tajwa.
 
Back
Top Bottom