nenda kwenye wavuti ya wizara ya mifugo na uvuvi utakuta application form ina maelezo yote. Ila kwa kifupi kozi ni ya miaka miwili, kiwango cha ada itategemea kama utapata udhamini wa serikali au la! (form inajieleza).
Vyuo vinavyotoa diploma vya serikali ni LITA Tengeru, Mpwapwa, Morogoro, Madaba nadhani na Mabuki. hiyo certificate yako ya kilimo inakidhi vigezo vya kujiunga,
Kwa maelezo zaidi tembelea "www.mifugouvuvi.go.tz" au nichek kwa 0716649482. Mi nasoma Mpwapwa hiyo diploma tajwa.