ninataka
kusoma uchumi nina omba ushahur tu.
boya ni wewe hapo unaejitia kimbelembele,yeye ameuliza kama huna jibu kaa kimya sio kumkejeli,kwani amekuomba umsaidie ada,kuuliza sio ujingaww kweli boya..
hujui usome nn..
soma chochote kinalipa. Maisha ni bahati na kujituma kwa bidii
Hili ndio tatizo linalowasumbua form six wengi. Matokeo hayajatoka kashatanguliza mguu mmoja mbele. Mwisho wa siku matokeo yakitoka kaangukia pua utamsikia ooh hivi kwa ufaulu wa E,E,E naweza kupata course za hata education?. Acha papara usitangaze nia wakati huna uhakika wa kupata nafasi ya kupitishwa. Subiri results mwez wa 7 katikat.
Hahahahhahaha kweliii nduguu ujakoseaa hahahahhahah daa etiiii EEE
Inategemea na wewe unapebdelea nini hasa, ila kwa mimi naona kama una ufaulu mzuri basi agribusiness ingekufaa sana. katika agribusiness utasoma mambo mambo yote ambayo mtu wa BA economics anasoma na pia iko wide sana (mpaka kwenye kilimo)!! na ujue inatolewa SUA tu kwa hapa tanzania!! kila la heri..Nimemaliza form six mwaka huu natarajia kuingia elimu ya juu. Napenda sana kuwa mwanauchumi, katika tafiti zangu nimekutana na degree hizi.
1. BA In economics UDSM
2. BSc. Agricultural Economics and Agribusiness - SUA
3. BA in Economics - Project Management - Mzumbe
Naomben ushauri ni degree ipi nzuri kati ya hizi 3.
Inategemea na wewe unapebdelea nini hasa, ila kwa mimi naona kama una ufaulu mzuri basi agribusiness ingekufaa sana. katika agribusiness utasoma mambo mambo yote ambayo mtu wa BA economics anasoma na pia iko wide sana (mpaka kwenye kilimo)!! na ujue inatolewa SUA tu kwa hapa tanzania!! kila la heri..