Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks mkuu, kuna fundi aliniambia inawezekana ndiyo nikaja humu, lakn mbona umezungumzia rav 4 tu? Carina, nk hazifai?Injini ya GX 110ni 2.0L na injini ya rav 4 kama ni Rav 4 Massawe itakuwa na 3s ambayo nayo ni 2.0L..
Kumbuka Engine Alignment ya GX 110 na Rav 4 iwe Massawe au Kill time, hazifanani....
Gx 110 injini inatazama mbele gear box ipo nyuma....rav 4 injini imegeukia kulia, gear box ipo kushoto
Jibu rahisi ni suala lisilowezekana kwa urahisi...linawezekana kwa ugumu na kwa gharama kwa sababu utalazimika kufanya modifications nyingi under the hood..
Kama unaoenda engine ya rav 4, bora ujichange ununue rav 4.
Sorry nadhani nilikuwa na mawazo ya Rav 4 ndiyo maana nikaandika hivyo...sijajua niliisoma wapi hii rav 4...Thanks mkuu, kuna fundi aliniambia inawezekana ndiyo nikaja humu, lakn mbona umezungumzia rav 4 tu? Carina, nk hazifai?