Kuna mfanyakazi mwenzangu amenitaka nimsaidie tatizo lake lakini nimeshindwa, nikaona bora nije hapa jamvini nikiamini nitapata chochote cha kumsaidia.
Anapofanya tendo la ndoa huwa anapiga bao moja tu lakini hawezi kupitisha hata siku mbili tu bila ya kufanya tendo la ndoa yaani anakuwa na hamu kama anabalehe sasa, tena anapotoa manii huwa mke wake hahisi kama ameshamwagiwa,je nini tatizo?
Sasa hivi mke wake ni mjamzito lakini kila siku mume anataka mchezo na akipewa uwezo wake ni bao moja tu lakini anachukua round mpaka na mke anakojoa ndio na yeye anamwaga.
Je wanajamvi huyu mwanamme ana tatizo au ni kawaida? Je kama ni tatizo afanye nini ili tatizo liishe?
Nasubir msaada wenu ili kesho nikienda kazini nimwambie.
Natanguliza shukurani nikiwa sina cha kuwalipa isipokuwa mtalipwa na Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma.
I WISH YOU SWAUMU MAQBUL.