Naombeni ushauri kuhusu kukosa hamu ya tendo baada goli moja

Turufuu

Senior Member
Joined
Dec 27, 2013
Posts
182
Reaction score
54
Kuna mfanyakazi mwenzangu amenitaka nimsaidie tatizo lake lakini nimeshindwa, nikaona bora nije hapa jamvini nikiamini nitapata chochote cha kumsaidia.

Anapofanya tendo la ndoa huwa anapiga bao moja tu lakini hawezi kupitisha hata siku mbili tu bila ya kufanya tendo la ndoa yaani anakuwa na hamu kama anabalehe sasa, tena anapotoa manii huwa mke wake hahisi kama ameshamwagiwa,je nini tatizo?

Sasa hivi mke wake ni mjamzito lakini kila siku mume anataka mchezo na akipewa uwezo wake ni bao moja tu lakini anachukua round mpaka na mke anakojoa ndio na yeye anamwaga.

Je wanajamvi huyu mwanamme ana tatizo au ni kawaida? Je kama ni tatizo afanye nini ili tatizo liishe?

Nasubir msaada wenu ili kesho nikienda kazini nimwambie.

Natanguliza shukurani nikiwa sina cha kuwalipa isipokuwa mtalipwa na Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma.

I WISH YOU SWAUMU MAQBUL.
 
high libido accompaned with weak sperm
 
Pole ndugu, ila Wakati mwingine kuweni wawazi kwamba wewe ndo unaomba ushauri na huo ndio ukweli wako usijifiche wakati unatatizo. Ki ukweli huyo mtu ana tatizo la prematua ejaculation iliyosababishwa na punyeto ya miaka mingi hivyo ameshazoea akipiga bao 1 ndo basi jamaa analala maana alishaziea hivyo wala si kwamba tatizo kubwa ni mazoea tu. Ila kama alikuwa anapiga punyeto wala hana uwezo wa kwenda dakika 2 anakojoa kama jogoo. Tumesaidia vijana wengi waliojieleza kwa usahihi. Inaonekana mishipa yakusambaza damu kwenye uume ni dhaifu. Mwambie aache punyeto na akiwa na mke wake aache hofu akipiga bao ajitahidi kujipa moyo arudie hata kama uume umelegea utasimama humo humo. Amshirikishe wife ampe sapoti hadi uume usimame, siyo anatulia tu kusubiri kama bata ashughulike kumsaidia mwenzake ili wafurahie ndoa yao. Ila azingatie yafuatayo. 1.acha punyeto. 2. Andaa juice ya tikiti, chungwa na limao bila kuweka maji, kunywa kila siku kwa muda wa miezi mitatu hasa kila unapoenda kukutana na wife pata glass nzima, 3.fanyisha uume mazoezi ukiwa bafuni usimamishe kidogo kisha pekacha sehemu ya kati kati ili mishipa ikomae huku ukijaribu kuvuta kila upande, fanya hivyo kila mara ila usiguse kichwa maana utakuwa unafanya punyeto ambayo ni hatari, 4. Kula korosho kila mara maana ina virutubisho muhimu sana. 5 fanya mazoezi ya kupunguza kitambi, 6. Jifunze style mpya za kufanya tendo hilo ili usikose hamu. 7. Acha pombe na sigara kabisa ni sumu ya nguvu za kiume. 8 anza kunywa uji wa lishe wenye mchanganyiko wa ufuta, ngano, mahidi yasiyokobolewa, karanga kidogo na mtama. Hii itasaidia kuongeza kiwango cha mbegu ila ukitulia kimawazo ndo mbegu huzalishwa kwa wingi hawa usipokula vyakula maalum. Huo uji Unywe asubuhi na jioni kama mtoto utaona matokeo mazuri baada ya muda ila uache pombe na sigara. Pia punguza kunywa soda, jitahidi unywe maji na juice za kutengenezwa nyumbani na mkeo. Have good time na mkeo, muelezane changoto zenu wenyewe msiende kazini kuelezea wafanyakazi wenzenu ujue nao wana matatizo kibao, wengine hawana siri watakutangaza hadi ukose raha. Mwisho, mwambie wakati wa tendo asiwe na hamaki kupiga bao, afanye taratibu. Aende hospitali pia kupata ushauri wa kitabibu huenda wakawa na ushauri mzuri zaidi. Msione aibu kujieleza mkiwa na matatizo kama hayo, mtasaidiwa na vijana mtaani, we baki na tai shingoni. Matatizo yoyote tuliyonayo wanadamu tametokana na mfumo wa maisha tunaoishi. Tumeacha vyakula vya asili, hatufanyi mazoezi, tuna mawazo mengi na hatusikii ushauri wa wataalamu kuhusu lishe. Hebu zingatia hayo uone. Samahani kwa wale wanaouza dawa za nguvu za kiume kama nimetaja fomula zenu mnisamehe ila ni vizuri msaidie watu bure! Msiwadanganye.
 
Ndugu yetu pole sana hili ni tatizo la wengi hasa wanaume. lakinin bahati mbaya wengi huwa hawawezi kujitokeza na kueleza matatizo yao. Ndugu yangu hapo juu ameeleza vizuri. Jaribu fuata ushari huo na ikishindikana jaribu nenda kwa madaktari watakusaidia pia. Kana huna mwingine ntafute nitakusaidi bure usije ukavunja ndoa yako. maana hili suala ni nyeti na limekuwa ni chanzo kimoja wapo cha kuanza kuvurugika kwa ndoa. Kwa msaada zaidi piga. +255 689 417 472
 
Ya nini kujiongezea dhambi?? Ukamsingizie rafiki yako na kushukuru ukashukuru weye?? Acha kuficha maradhi wenzio watakuchapia japo ni siri ya ndani. Nakushauri uwapo kwenye tendo la ndoa, epuka sana kuhamisha mawazo pembeni...huwezi kupiga bao. Au utachelewa kama huna vionjo..utawahi kama saikolojia yako ipo kwenye bao tu. Kama ilivyoshauliwa hapo juu, tumia pia asali, Mdalasini au upende kunywa kahawa na karanga au korosho. Kula vyakula vya protini na wanga kujenga manii..tumia pia Tangawizi na kitunguu swaumu vinasaidia ashiki...
 

Excellent post!!:A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1:
 
Kitu kimoja watu hawajajua tu. Kuna tiba za kisuna hawa jamaa ni mwisho tukiweka ufia dini pembeni.
 
Kitu kimoja watu hawajajua tu. Kuna tiba za kisuna hawa jamaa ni mwisho tukiweka ufia dini pembeni.

Ahsante mkuu, hebu tiririka vyema hapo tupate hizo faida tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…