Acha ufala mzee😂Swali lako ni sawa na mtu auone moto kisha aulize;
''Wakuu niushike huu moto? nyie mnanishaurije?''
miaka 30 huoni kama ni shimo unaingia?Mimi ni kijana wa miaka 30, nilikutana na Binti Mmoja tukiwa chuo, miaka ya nyuma kidogo.. nikawa na namba yake, lakini nilimtomgonza, miezi Sita iliyopita akakubali, na nikamwambia nataka kumuoa. Ila sasa toka kipindi icho amekuwa akinilazimisha niende kwao kutoa posa na mahari. Tunaishi mikoa tofauti..
Tukiwa tunakutana simu yake anaweka password, hataki niishike.
Kuna siku niliishika. Nikakuta meseji anachati na wanaume, wengine wanamwambia waonane anakubali, wengine anawabebisha anawaomba na hela. Na Kuna mwingine yupo mkoa Mmoja, huyu mwanamke wangu alikuwa anamwambia atasafiri kwenda huko, waonane.
Na nikimsaidia kwa mfano hela ya vocha au 50,000 ananambia iyo hela sio hela hata, muuza vitumbua anaweza mpa demu wake. Vipi wakuu nioe hapa?
Hapana, usimuache akaukumbatiaSwali lako ni sawa na mtu auone moto kisha aulize;
''Wakuu niushike huu moto? nyie mnanishaurije?''
mkuu vijana wetu Kuna sehem tunakosea kuwaongoza au Kuna shida kwenye jamii'?Hapana, usimuache akaukumbatia
Inawezekana ni kipofu au amechanganyikiwa, unajua dunia ina mengi
Ngumu kumeza hii2.akisema unata kunichezea mwambie akili zetu znawaza kitu kimoja
Mimi ni kijana wa miaka 30, nilikutana na Binti Mmoja tukiwa chuo, miaka ya nyuma kidogo.. nikawa na namba yake, lakini nilimtomgonza, miezi Sita iliyopita akakubali, na nikamwambia nataka kumuoa. Ila sasa toka kipindi icho amekuwa akinilazimisha niende kwao kutoa posa na mahari. Tunaishi mikoa tofauti..