MD SPECIAL JF-Expert Member Joined Jul 4, 2025 Posts 1,161 Reaction score 2,812 Jan 5, 2026 #41 cocastic said: Vipi wee mabinti zako baadae hapo hutawapeleka chuo? Je ndugu zako wa kike nao wasiende chuo?? Click to expand... izo pesa za kupeleka chuo bora niwajengee msingi mapema niwape vitegauchumi viwaingizie pesa waanze kujitegemea mapema pasipo kusumbuliwa na ajira uchwara izi manyanyaso kila siku kazini.
cocastic said: Vipi wee mabinti zako baadae hapo hutawapeleka chuo? Je ndugu zako wa kike nao wasiende chuo?? Click to expand... izo pesa za kupeleka chuo bora niwajengee msingi mapema niwape vitegauchumi viwaingizie pesa waanze kujitegemea mapema pasipo kusumbuliwa na ajira uchwara izi manyanyaso kila siku kazini.
M Mwami Ntale JF-Expert Member Joined May 26, 2018 Posts 1,112 Reaction score 2,983 Jan 5, 2026 #42 KERATO MOMBAA said: Ni ukweli kabisa mkuu Hasa tunakoelekea ni pabaya sana Click to expand... Kuna namna ambavyo vijana wa kiume wamekuwa legelege mpaka inashangaza.
KERATO MOMBAA said: Ni ukweli kabisa mkuu Hasa tunakoelekea ni pabaya sana Click to expand... Kuna namna ambavyo vijana wa kiume wamekuwa legelege mpaka inashangaza.
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 Jan 5, 2026 #43 Smooth Criminal said: umeoa lini mkuu Click to expand... Juzi kati hapo mkuu
raizen 50 Member Joined Dec 16, 2025 Posts 39 Reaction score 66 Jan 5, 2026 #44 Au ulimpa 500 sio elf 50,000 kwan vitumbua ndio bei hio kimbia mbali na January hii ilivyo kuwa ngumu utakufa na stress 😩
Au ulimpa 500 sio elf 50,000 kwan vitumbua ndio bei hio kimbia mbali na January hii ilivyo kuwa ngumu utakufa na stress 😩
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Jan 25, 2026 #45 Huyo anakufaa oa... Cc: Mahondaw