kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
Nahitaji kuanzisha mradi wa kufuga kuku wa kienyeji nataka nianze na vifaranga 1000 . sasa wataalamu naombeni mnisadie mambo ya yafuatayo
Gharama zake kuweza kufuga hao kuku.mabanda na chakula
Mbinu za kufanya wakue fasta
Je kipi kinaweza kunipa faida zaid kwa kuuza kuku wote au niuze mayai tu
Asanteni sana
Gharama zake kuweza kufuga hao kuku.mabanda na chakula
Mbinu za kufanya wakue fasta
Je kipi kinaweza kunipa faida zaid kwa kuuza kuku wote au niuze mayai tu
Asanteni sana