Duniahadaa
JF-Expert Member
- Oct 16, 2017
- 336
- 677
Ni juu yako wewe ni nani na ni sera zipi huchagueMimi ni Muuguzi Mkunga katika hospitali moja ya wilaya katika Mkoa wa Dodoma. Ni mwanachama wa chama dume, chama pendwa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ninatarajia kustafu kazi mwaka 2022 July 10 baada ya utumishi uliotukuka wa miaka 31.
Natarajia kupata mafao yangu ya Sh. milioni 100. Baada ya kupata mafao yangu, nilipangilia kwanza kujenga nyumba yangu ya kuishi kwa sh. 30 million, kulipia ada ya chuo kikuu wanangu wawili na zingine nijenge nyumba za kupanga ili zinisaidie kusukuma maisha. Pia nilitamani wazee wangu niwajenge pia kibanda kule kijijini. Sasa naambiwa kuna kikokotoo kinakahofanya nilipwe milioni 25 na zingine milioni 75 nitakuwa nalipwa kidogo kidogo kila mwezi hadi nife. Hii maana yake hata ile nyumba niliyopanga kuijenga ili inisitiri sitaweza achilia mbali uwekezaji niliopanga kuufanya.
Sasa nimesikia Chadema na Tundu Lissu wamekuja na sera inayokataa kikokotoo hiki. Je, nifanyaje mimi maana nimechanganyikiwa. Nimpigie Magu ile kwangu, kwa wanangu na kwa familia ya wazee wangu au NIASI CHAMA nimpe Kura Tundu Lissu ili mipango yangu itimie? Naombeni ushauri jamani.
Hello! Hatulazimishwi kumshabikia Magufuli. Na hawezi kutusurubu kwa sababu hatujamchagua yeye.John akifanikiwa atakuwa na hasira usipime. Atakomoa na kusulubu watu Ile mbaya.
Kwanza kwa ninavyofahamu visasi vya John patachimbika. Amechukizwa Sana na tabia za watanzania kumshabikia Lisu wakati hajajenga hata choo cha stendi.
Bado sijaona ushauri wowote wa maana hadi sasa
Changua moja Kati ya kua na fly over Dar au kupata pession yako yote......Mimi ni Muuguzi Mkunga katika hospitali moja ya wilaya katika Mkoa wa Dodoma. Ni mwanachama wa chama dume, chama pendwa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ninatarajia kustafu kazi mwaka 2022 July 10 baada ya utumishi uliotukuka wa miaka 31.
Natarajia kupata mafao yangu ya Sh. milioni 100. Baada ya kupata mafao yangu, nilipangilia kwanza kujenga nyumba yangu ya kuishi kwa sh. 30 million, kulipia ada ya chuo kikuu wanangu wawili na zingine nijenge nyumba za kupanga ili zinisaidie kusukuma maisha. Pia nilitamani wazee wangu niwajenge pia kibanda kule kijijini. Sasa naambiwa kuna kikokotoo kinakahofanya nilipwe milioni 25 na zingine milioni 75 nitakuwa nalipwa kidogo kidogo kila mwezi hadi nife. Hii maana yake hata ile nyumba niliyopanga kuijenga ili inisitiri sitaweza achilia mbali uwekezaji niliopanga kuufanya.
Sasa nimesikia Chadema na Tundu Lissu wamekuja na sera inayokataa kikokotoo hiki. Je, nifanyaje mimi maana nimechanganyikiwa. Nimpigie Magu ile kwangu, kwa wanangu na kwa familia ya wazee wangu au NIASI CHAMA nimpe Kura Tundu Lissu ili mipango yangu itimie? Naombeni ushauri jamani.
Mpe Lisu kura yakoMimi ni Muuguzi Mkunga katika hospitali moja ya wilaya katika Mkoa wa Dodoma. Ni mwanachama wa chama dume, chama pendwa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ninatarajia kustafu kazi mwaka 2022 July 10 baada ya utumishi uliotukuka wa miaka 31.