Naombeni ushauri kuhusu sera hizi, nichague yupi?

Kuchagua CCM ni kujichagulia kifo
 
Yaani pamoja na manyanyaso yote kwa watumishi bado unakuja na kudai wewe ni mwana ccm!!!!!! Mchague Mwenyekiti wako, ama kweli wewe ni sikio la kufa.
Huyo ni sawa na mapolisi na walimu wanaompigania mtu aliyewazulumu mishahara 5 yrs ili azidi kuwazulumu miaka 5 tena. Au sawa na viongozi wa dini wanaomtetea mtu afanyae sadaka zipungue makanisa na misikitini
 
Fuata moyo wako ila usisahau akili zako nyuma...

Viongozi hubadilika au kubadiliswa ila mifumo ni ile ile siku zote...



Cc: mahondaw
 
Wanajua kwamba baada ya kustaafu wengi hufa ndani muda mfupi hivyo wakizuia hiyo milioni 75 wakupe kidogokidogo ukifa inabaki kwao
 
Kumbe umepata taarifa ya pande zote mbili kuhusu mafao yako. Kinachokutesa ni ni huo ukada. Sasa usichanganyikiwe sana, kura yako ni siri yako, kapige kura uchague upande unaokufaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…