Jifunafu
Senior Member
- May 25, 2020
- 182
- 693
Ndu Wana jamvi, Mimi ni mkulima na msimu wa kilimo ndo huu umewadia.
Mwaka huu naitaji kubadili muelekeo Nina achana na kilimo Cha mahindi nataka kuelekeza nguvu Katika kilimo Cha mpunga
Katika maandalizi yangu ya pembejeo
nimekutana na wakulima wenzangu wakinishauri kutumia hii mbolea ya maji ya super gro kutoka kampuni ya Neolife GLD.
Kwangu Mimi sijawai kutumia mbolea hii, nimekuta nabaki njia panda nikaona ni vema nije kuuliza hapa kama Kuna watu waliowai kutumia mbolea hii walete mlejesho kabla sijaenda kuinunua.
Pia kama uliwai kuitumia inafanya vizuri katka zao la mpunga? Maana Kuna wakala wa hii kampuni anatembelea huku na kushawishi wakulima sana.
Nawasilisha.