Xinho De Roi
New Member
- Jan 3, 2025
- 1
- 4
Habari ndugu zangu wa JF
Nilikuwa naomba msaada wenu wa ushauri Kwa wanao kufahamu vizuri Dodoma na wanaofanya biashara mbali mbali Dodoma.
Kwa Sasa nipo Morogoro lakini nataka nifanye biashara ya nafaka(mchele, mahindi, maharage, kunde ngano n.k) Dodoma na msaada wa location pia Kwa mkoa wa Dodoma .
Naombeni sana msaada wenu ndugu zangu
Mwenyezi Mungu awajalie sana